Wednesday, 24 July 2024

UJENZI MAKAO MAKUU

Mradi Mkubwa wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Kanisa la Wabaptist Dodoma unaendelea

 

PICHA NA MATUKIO


Viongozi wa Kanisa la Wabaptist Tanzania wakiwa picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila wakati wa ibada ya kuwekwa wakfu Mwangalizi wa Jimbo la Dar es salaam Alex Chitawala.

 

MKUTANO MKUU WA 48 TAREHE 27-30 AGOST 2024 DODOMA

Kanisa la Wabaptist Tanzania linatarajia kuwa na Mkutano wake Mkuu wa Mwaka 2024 utakaofanyika Makao Makuu jijini Dodoma. Wajumbe kuwasili Dodoma tarehe 26 Agost 2024 na kuondoka tarehe 30 Agost 2024. Viingilio na maelekezo mengine tafadhali wasiliana na Mchungaji wako ama ofisi zetu za majimbo na Kanda.


UJENZI MAKAO MAKUU

Mradi Mkubwa wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Kanisa la Wabaptist Dodoma unaendelea