Wednesday, 24 July 2024

MKUTANO MKUU WA 48 TAREHE 27-30 AGOST 2024 DODOMA

Kanisa la Wabaptist Tanzania linatarajia kuwa na Mkutano wake Mkuu wa Mwaka 2024 utakaofanyika Makao Makuu jijini Dodoma. Wajumbe kuwasili Dodoma tarehe 26 Agost 2024 na kuondoka tarehe 30 Agost 2024. Viingilio na maelekezo mengine tafadhali wasiliana na Mchungaji wako ama ofisi zetu za majimbo na Kanda.


No comments:

Post a Comment

UJENZI MAKAO MAKUU

Mradi Mkubwa wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Kanisa la Wabaptist Dodoma unaendelea